Habari na matangazo ya Parokia teule ya Mt. Clara Kanegeji
Parokia Teule Kanegeji itakuwa na ibara mbili (2) kila jumapili, ibada ya kwanza itaanza saa12 na nusu asubuhi mpaka saa2 na nusu na ibada ya pili itaanza saa 2 na nusu mpaka saa4 na nusu asubuhi.